About

Hi, my name is Ethan.

(scroll down for Swahili)

I’m was born and raised in Tanzania. Over the last 16 years I’ve been working in the safari industry managing camps, resident guiding, private guiding, tour leading, but I also particularly enjoy guide training.

I spend a lot of time on safari and when I’m not on safari I’m running the business and spending time with my family, so I don’t get a lot of time to stay current with research. The collapse of tourism during corona has let me get back into reading. The world we get to guide in is incredible and I hope that this blog will simplify, clarify, and elaborate on a lot of different guide relevant topics.

Habari. Mimi ninaitwa Ethan. Nimezaliwa na kulia Tanzania. Nimefanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa zaidi ya miaka 16 nikiwa ninaendesha makambi ya kitalii, kua guide mkazi, kuongoza watalii kibinafsi, kuongoza vikundi vya watalii (tour leader), lakini pia napendezwa sana nikiwa ninafundisha viongozi watalii wenzangu.

Hua ninajikuta mara nyingi safarini, na nisipokua porini najikuta napambana kuendesha kampuni na kukaa na familia, kwa vile sipati nafasi ya kujisomesha mambo leo inayohusu elimuviumbe. Sekta ya utalii imetulia kwa sasa na imenipa nafasi ya kujisomesha tena. Uliimwengu tunayoipata nafasi yakuwatembeza wageni inashangaza sana na lengo yangu ya hii tovuti ni kurahisisha, kufafanua, na kuelezea zaidi mada zinazohusu viongozi wakitalii.